BARISTA PRO TRAINING
MASTER BARISTA CLASS 2021
Jiunge sasa na master barista class (BARISTA Skills and techniques class). Itakayokuwezesha kutengeneza aina mbalimbali za kahawa na kufahamu jinsi ya kuandaa mashine na grinder kisasa zaidi. Pia utapata cheti (Certificate) ya kushiriki. Bila kusahau kutakuwa na mafunzo ya namna ya kutoa huduma kwa wateja.
Muda: Wiki 3
Siku: Part-time (Jumatatu hadi Jumamosi)
Ada: TZS 370,000
Jiunge sasa nafasi ni chache wasiliana nasi kupitia simu za namba 0714 990 810 au 0744 141 604 kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujiunga.